DirectoryPoliticsBlog Details for "KULIKONI UGHAIBUNI"

KULIKONI UGHAIBUNI

KULIKONI UGHAIBUNI
TOPICAL DISCUSSIONS ABOUT AFRICAN,PARTICULARLY TANZANIAN,POLITICAL,ECONOMIC AND SOCIAL ISSUES IN RELATION TO THE WEST AND THE REST OF THE WORLD

Articles

TAIFA JIPYA LAZALIWA:KOSOVO YAJITANGAZIA UHURU
2008-02-17 16:55:00
Muda mchache uliopita,Kosovo imejitangazia uhuru wake ikiahidi kuwa nchi ya kidemokrasia,katika hatua inayoungwa mkono na Marekani na nchi nyingine za Magharibi lakini ikipingwa vikali na Russia na Serbia. Spika wa Bunge Jakup Krasniqi,Waziri Mkuu Hashim Thaci na Rais Fatmir Sejdiu,ndio waliosaini tangazo hilo la uhuru ambalo limepokelewa kwa nderemo na vifijo katika nchi hiyo,hususan katika mji
MMETUFILISI NASI LAZIMA TUWAFILISI (MAKALA NDANI YA "RAIA MWEMA")
2008-02-14 22:12:00
KWANZA NAPENDA KUMPONGEZA BLOGA NAMBIZA TUNGARAZA KWA MAJUMUISHO YAKE MAZURI KUHUSU SAKATA ZIMA LA UFISADI LILILOPELEKEA KUVUNJWA BARAZA LA MAWAZIRI. KATIKA TOLEO LA WIKI HII LA GAZETI LA RAIA MWEMA,MAKALA YANGU INAZUNGUMZIA YALIYOJIRI KUTOKANA NA SAKATA LA RICHMOND.KWA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WANGU,MAKALA HIYO HAIKO KWENYE ONLINE VERSION YA GAZETI HILO.PIA KWA VILE VICHWA VYA MAKALA ZANGU
More About: Raia
TATIZO SIO KUCHANGANYA SIASA NA BIASHARA BALI MAFURIKO YA UFISADI KWENYE UK
2008-02-11 20:49:00
Uongozi wa kisiasa wa Tanzania,kama ilivyo sehemu mbalimbali duniani,umekuwa ukitegemea watu kutoka fani mbalimbali za maisha.Tuna viongozi wa dini (kama Mchungaji Lwakatware),Wasomi (kama Prof Mwandosya,Prof Msola,Prof Mwakyusa),wanajeshi (kama Kapteni John Komba,Kapteni Jaka Mwambi,Luteni Yusufu Makamba) na hata wasanii kama Khadija Kopa .Hivi karibuni,JK alielezea kutoridhishwa kwake na athari
More About: Bali
A DAY EVERY WIFE DREADS,A DAY EVERY WIFE DREAMS OF
2008-02-09 22:38:00
AMA KWA HAKIKA MAISHA HAYATABIRIKI.MAISHA SIO KAMA FUMBO LA HESABU AMBAPO MBILI KUJUMLISHA MBILI JIBU LAZIMA LIWE NNE.KATIKA MAISHA,JIBU LA FUMBO HILO LINAWEZA KUWA HAMSINI,AU KWA KUKATISHA TAMAA ZAIDI,JIBU LAWEZA KUWA SIFURI. HAPO CHINI,NI PICHA YA REGINA LOWASSA,AKIFUTA CHOZI KUFUATIA MUMEWE,EDWARD LOWASSA, KUBWAGA MANYANGA YA UWAZIRI MKUU.HII NI NIGHTMARE AMBAYO KILA MKE ANAOMBA ISITOKEE
More About: Dreams , Wife
PRESS SECRETARY WA LOWASSA DHIDI YA "KULIKONI UGHAIBUNI",KISA MAKALA ILIYOH
2008-02-08 01:08:00
Mwezi Novemba mwaka 2006,niliandika makala moja iliyotoka katika gazeti la KULIKONI (toleo la tarehe Novemba 3-9, 2006 2006).Katika makala hiyo (BONYEZA HAPA KUISOMA),nilizungumzia kusikitishwa kwangu na habari kwamba ex-PM Edward Lowassa alikuwa akifanya jitihada za kuwanyamazisha wabunge wa CCM kuhusu shinikizo la kujadili mkataba wa Richmond.Pia katika makala hiyo nililaumu staili ya uongozi
More About: Press , Press Secretary
HUU UTANI MBAYA,MH SPIKA (MAKALA NDANI YA "RAIA MWEMA")
2008-02-06 20:58:00
Makala yangu ndani ya toleo la wiki hii la gazeti la Raia Mwema iliandaliwa kabla ya "kimuhemuhe" kilichoanza leo huko Bungeni.Kwa kifupi,makala hiyo inaelezea namna siasa inavyoboa (au ni wanasiasa ndio wanaoboa?) na kutoa mfano wa namna baadhi ya wahafidhina katika chama cha Republicans "wanavyotiana vidole kwenye macho" kufuatia mwenendo mzuri wa harakati za Seneta John McCain kuingia White
MACHAFUKO NCHINI KWENYA: UKABILA AU MAPAMBANO YA KITABAKA (MAKALA NDANI YA
2008-02-01 23:52:00
Makala yangu hii ilitoka katika toleo la jana la gazeti la Mtanzania Miongoni mwa adha za kumiliki runinga hapa Uingereza ni kuilipia ada ya leseni (TV Licence Fee).Ada hiyo kwa kiasi kikubwa hutumika kuendesha BBC ambalo ni shirika la utangazaji la nchi hii.Wananchi wengi wamekuwa wakilalamika kwamba baadhi ya vipindi vya BBC havina ladha inayoweza kuhalalisha shirika hilo kuendelea kupewa
ZIARA YA BUSH ITUSAIDIE DHIDI YA UFISADI (MAKALA NDANI YA RAIA MWEMA)
2008-01-30 20:48:00
Pamoja na mambo mengine,makala yangu katika toleo la wiki hii la gazeti la Raia Mwema inatoa changamoto kwa vyombo vya habari vya Tanzania kutumia ipasavyo teknolojia ya habari kwa kuwezesha habari zao kupatikana mtandaoni.Pia nimegusia kwa kifupi "tangazo" la Balozi Ali Karume kuhusu dhamira yake ya kugombea urais wa Zanzibar mwaka 2010.Vilevile nimetumia sehemu kubwa kuelezea namna ziara ya
More About: Bush
Ringtones....and Some Flicks
2008-01-29 20:50:00
Does a ringtone tell anything about a mobile phone's owner?Well,for more than 2 yrs now I've just stuck by one old song,Toploader's Dancing in the Moonlight .What about you?Here's the song's video (it's the flavour-especially kinanda -organ,accordion or whatever)-that I really like,and not the video actually) Some other clips...for Tuesday. Busta Rhymes ft Mariah Carey-I Know What You Want
More About: Ringtones
KUMBUKUMBU YA DKT MARTIN LUTHER KING JR NA TAFAKURI KUHUSU "I HAVE A DREAM
2008-01-24 15:11:00
Siku chache zilizopita Wamarekani waliadhimisha siku ya Dakta Martin Luther King Jr,mmoja wa wapigania haki za Waamerika Weusi.Historia inamkumbuka Dkt King (aliyezaliwa mwaka 1929 na kuuawa kwa risasi mwaka 1968)kama nguzo muhimu katika kupigania haki za Waamerika Weusi nchini humo.Pengine kilichomfanya wanaharakati huyo akubalike zaidi ni imani yake ya kudai haki kwa njia za amani. Miaka
More About: Dream , Martin Luther King Jr
ATTENTION BLOGGERS...INAELEKEA NI ZAMU YETU BAADA YA KUBENEA
2008-01-24 05:51:00
Alfajiri hii nimepata barua-pepe kutoka kwa mtu mmoja anayeelekea kuumia moyo kwa namna navyoshutumu ufisadi na mafisadi.Mzembe huyo ametoa shutuma lukuki kuhusu makala zangu magazetini na humu "bloguni" kuhusiana na suala la ufisadi.Kwa kutompa ujiko aliokuwa anatafuta,nimeamua kupuuza barua-pepe hiyo na sikumjibu.Binafsi,nilikuwa natambua bayana kwamba mafisadi wameshabaini kwamba mtandao una
More About: Bloggers , Attention
MAKALA YA WIKI HII NDANI YA RAIA MWEMA: UFISADI NI MTEGO WA PANYA
2008-01-23 11:38:00
Rafiki yangu mmoja amenitumia barua-pepe muda mfupi uliopita baada ya kusoma makala yangu ndani ya toleo la wiki hii la gazeti la Raia Mwema.Hakuwa na pongezi wala malalamiko bali alidai kwamba wakati anasoma makala hiyo alijiskia kama anaongea nami uso kwa uso japo tuko umbali wa maili elfu kadhaa.Ni kweli,napoandika makala huwa najitahidi kadri ya uwezo wangu kuiwasilishalisha kwa kutumia
More About: Wiki
INTERVIEW YA T.I.D BEN TV LONDON
2008-01-23 00:23:00
Usiku huu (kwa saa za hapa Uingereza) msanii wa Bongofleva,T.I.D,alifanya mahojiano mafupi na kituo cha runinga cha BEN cha jijini London ,kuhusu ziara ya msanii huyo nchini hapa.Inapendeza kuona msanii kutoka nyumbani akihojiwa,lakini nahisi kulikuwa na tatizo kidogo katika mfumo wa mahojiano hayo ambapo kwa mtizamo wangu,nadhani mtangazaji alitaka interview iwe ya Kiswahili lakini T.I.D alijibu
More About: Interview
MTIKISIKO KWENYE MASOKO YA FEDHA DUNIANI,SHOULD WE TANZANIANS CARE?
2008-01-22 02:32:00
Wafuatiliaji wa blog hii watakuwa wameshasoma mara kadhaa niki-confess kwamba mie nina "allergy" na masuala ya namba (hisabati).Sasa hii mada fupi nayoandika inahusu uchumi,na kwa "kilaza" wa namba kama mie,ipo kazi kuiwasilisha vema ieleweke.Ntajitahidi hivyohivyo.Jana,masoko mbalimbali ya fedha (au hisa?),kwa kimombo stock markets,yaliyumba sana kiasi cha kuleta hofu miongoni mwa
More About: Care
SHUJAA AITWAYE MSALITI NA RUBANI ALIYE NUSU-UTUPU
2008-01-20 16:11:00
Siku chache zilizopita,ndege aina ya Boeing 777 ya British Airways ilinusukirka kusababisha maafa makubwa baada ya kupata matatizo wakati linajiaandaa kutua katika uwanja wa ndege wa Heathrow.Marubani na wafanyakazi wengine wa ndege hiyo (iliyokuwa na abiria 152) waliibuka mashujaa kwa namna walivyoweza kuepusha balaa hilo.Kwa mujibu wa takwimu zilizopo,uwanja huo wa Heathrow ni wa tatu duniani
MAKALA KATIKA GAZETI LA MTANZANIA KUHUSU UFISADI
2008-01-20 15:28:00
Makala hii ilitoka kwenye gazeti la Mtanzania siku ya Alhamisi 17Jan 2008. Hatimaye ugavana wa Dkt Daudi Ballali katika Benki Kuu ya Tanzania umetenguliwa.Sijui kama utenguzi huo ni sawa na tunachosoma,kuona na kusikia kwenye vyombo mbalimbali vya habari kwamba Balali amefukuzwa kazi.Pengine la muhimu kwa sasa ni kwamba mtu huyo ametolewa katika wadhifa huo japo la muhimu zaidi ni kuweka rekodi
VIDEO ZA MUZIKI NA WANENGUAJI VIKATUNI!?
2008-01-19 23:12:00
Miongoni mwa matukio ya mwaka jana yaliyoathiri huduma hapa Uingereza ni pamoja na mgomo wa wafanyakazi wa Royal Mail (kufupisha maelezo,tuliite "shirika la posta la hapa").Pamoja na madai mengine yaliyopelekea mgomo huo,ni upinzani wa wafanyakazi hao dhidi ya mpango wa Royal Mail kuongeza teknolojia ambazo zingepelekea kupunguza wafanyakazi.Teknolojia ina faida na hasara zake,na moja ya "hasara
More About: Video
WAKO WAPI AKINA KIPANYA WA BONGOFLEVA?
2008-01-19 01:08:00
Siku chache zilizopita nilizungumzia kuhusu "afya" ya muziki wa Bongofleva.Dhamira ya makala hiyo ilikuwa ni kuwaamsha wahusika na kuwakumbusha kwamba japo ni vizuri kula matunda ya jasho lao,wanapaswa kuwa makini wasije kujikuta wanakata kabisa na mimea inayotoa matunda hayo. Leo napenda kuzungumzia nafasi ya muziki huo katika kuleta mabadiliko kwenye jamii.Nilisoma mahala flani kuhusu lawama
MPAYUKAJI MSEMAOVYO...AU MSEMAKWELI?
2008-01-18 16:07:00
Nimekuwa mwandishi wa makala magazetini tangu mwaka 1998,takriban miaka 10 sasa.Mtu aliyenipa changamoto la kufanya hivyo anaitwa Albert Memba,mwandishi wa zamani wa habari za michezo katika gazeti la Nipashe na Guardian.Huyu jamaa anaimudu lugha vilivyo.Nilianzaia kwenye magazeti "ya udaku" kama Sanifu (lilifariki zamani hizo) na baadaye Kasheshe na Komesha,ambako nilikuwa naandika unajimu "wa
PROF NDULU AMWONDOA LIYUMBA KWENYE U-DAP WA BENKI KUU
2008-01-17 12:49:00
Gavana mpya wa Benki Kuu,Prof esa Benno Ndulu,amefanya mabadiliko kadhaa katika uongozi wa benki hiyo.Katika mabadiliko hayo,Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala (DAP) wa B.O.T,AMATUS LIYUMBA (pichani) ameondolewa katika wadhifa huo.Habari kamili soma hapa. (Picha hii ya zamani ya Liyumba ni alipokuwa Mkuu wa Chuo cha BoT 1993-2000)
YA BALLALI,HILLARY NA OBAMA-MAKALA YA WIKI HII NDANI YA RAIA MWEMA
2008-01-16 14:05:00
Wiki iliyopita ilitawaliwa na surprises mbili:huko New Hampshire,Marekani,Hillary Clinton aliibuka mshindi kwenye primaries za chama cha Democrats,kinyume kabisa na utabiri wa awali wa waendesha kura za maoni na wachambuzi wa siasa za nchi hiyo.Na huko nyumbani,ugavana wa Daudi Balali ulitenguliwa.Wakati ili kuelewa nini kinaweza kuwa chanzo cha tofauti kati ya utabiri (kwamba Hillary
More About: Obama , Wiki , Raia
BONGOFLAVA IKO I.C.U?
2008-01-15 21:38:00
Hivi msomaji wangu mpendwa ulishaota ndoto ngapi za "ningependa kuwa flani" kabla hujafika hapo ulipo?Kwangu ni 3,moja naendelea kuhangaika nayo,na kwa Mapenzi yake Mola+jitihada zangu,natarajia kuitimiza miezi michache ijayo.Naomba niihifadhi ndoto hiyo kwa sasa.Ndoto yangu kwanza utotoni ilikuwa kuwa daktari.Sehemu ya elimu yangu ya msingi na O'level ilipatikana katika shule zilizokuwa karibu
LIMITATIONS ZA iPLAYER YA BBC
2008-01-14 21:28:00
Jana niliweka makala fupi kuhusu documentary ya gereza la San Quentin iliyoonyeshwa na BBC2.Baadaye leo nimepata comment kutoka kwa ndugu yangu TAFAKARI kwamba ilishindikana ku-download documentary hiyo kwa sababu teknolojia ya iPlayer ya BBC kwa sasa hairuhusu mkazi wa nje ya Uingereza ku-download chochote kinachokuwa posted huo.Ashakum si matusi,but this is absolutely bulls**t.Kwa vile
KAMA UNA MUDA,CHEKI DOCUMENTARY HII KUHUSU MAISHA NDANI YA SAN QUENTIN PRI
2008-01-13 23:33:00
Muda mfupi uliopita nilikuwa naangalia documentary moja ya Louis Theroux kuhusu maisha ndani ya San Quentin State Prison,one of the toughest and most dangerous in the U.S. of A.Katika documentary hiyo iliyoonyeshwa BBC2 Louis alipewa access ya wiki mbili ndani ya jela hiyo,na kwa hakika simulizi na mandhari ya humo ni ya kutisha na kuogopesha.It's such a moving documentary that I
More About: Documentary
AKON,DIKEMBE....NOW FROM TANZANIA,IT'S TK (M-BONGO NDANI YA HOLLYWOOD)
2008-01-12 12:28:00
Afrika imetoa mastaa kadhaa waliotamba na wanaotikisa nchini Marekani na duniani kwa ujumla."Zaire" ilitupatia Dikembe Mutombo na Senegal imetuzawadia Akon .Tanzania nayo inaelekea kupata kitu zaidi ya umaarufu wa Mlima Kilimanjaro au mbuga ya Selous.Hapa namzungumzia TK...TEDDY KALONGA,Mtanzania anayeleta matumaini ya kuliweka jina la nchi yetu kwenye ramani huko Hollywood .Mwenyewe anasema "kuna
More About: Bongo
MAKALA YA WIKI HII NDANI YA RAIA MWEMA-OBAMA NA MATUMAINI YALIYOPOTEA
2008-01-09 15:57:00
Baada ya Barack Obama kuibuka kidedea huko Iowa,kuna wengi walioanza kuamini kwamba sura mpya imefunguliwa katika siasa za Marekani.Mimi sikuwa mmoja wao,na ushahidi unapatikana kwenye makala zangu zilizopita kuhusu ushindi huo wa Obama.Katika toleo la wiki hii la gazeti la Raia Mwema nimejaribu kuangalia namna imani na matumaini ya Obama yalivyomfikisha hapa alipo sasa.Napenda kusisitiza kwamba
More About: Wiki
36017 blogs in the directory.
Statistics resets every week.


Contact | About
© Blog Toplist 2008 - SEO by FeWorks
eXTReMe Tracker